Collo · Kleptomaniax · Lyrics · Nyashinski

Tuendelee ama Tusiendelee

by Kleptomaniax

[Nyashinski]

Ka’ ningekuwa msanii wa sanaa ya silah(a)

Ningekuwa na jamii ya maSaddam kama saba na

Mabunduki na makofia ka’ bilauri

Bidhaa za kujijali tu, hali mashauri!

S’kiza sauti kutoka Kenya mpaka Saudi

Karibia majabu ya Musa firauni

Huyu kijana anafanya vipusa kwa town-i

Wavue mashati, ma-panty ni kama wao ni

Wendawazamu, na saa s’kiza hii story vizuri jamaa

Rap naifanyia chapaa, na ma-fans wanaonipenda, jamaa

So hata ukinichukia, siwezi jali hata.

Ka’ wee ni MC, stick to works

Unafaa kuweza kutumia Hiphop, na other tracks

Si kuchukia wadhii juu wanatawala industry

na wee bado uko huko chini

Kabla single yako i-blow jipe miaka ka’ nane

Hata lazima nik’tukane ndiyo ujulikane

Hiphop ni culture ya love, usisahau

Pole kukuambia, sikuchukii

Nakudharau

 

[Chorus]

Tuendelee ama tusiendelee (Tuendelee) x 4

 

[Collo]

‘Naskia kuna MCs f’lani wametutusi

Ati ma-lyrics zetu manze ni za upuuzi

Na heri sisi, hao wamejaa na virusi

Kumangana kila mahali kama mambuzi

Na ningekimya, ningenyamaza, singejali

Ni venye rap to nilianza uchangani

Ukalimani,

Ukali yaani,

Uhali gani?

MC, lengo la kuroga nikupata mali

Matamshi yachanganya kama lugha ya Punjabi

Kukubaliwa na wanati hata na maBarbie

Wee!

Wacha kujidu msee hatari

Kutema na mimi ‘nasema lakini tu

ni safari

 

[Chorus] x 2

 

[All Kleptomaniax] (x2)

Niaje bro (vipi beshte?)

Niaje siste (vipi dada?)

Tunawachekii (Mnatuchekii)

We’ve got mad mad love for ya’ll

 

 

[Nyashinski]

Twende!

Nina track-i, nina mistari

Swahili jangili

Mkono wa kushoto ni mic, mbota na bangili

Tema na mimi ka’ una rhymes ka’ mia mbili

Kiasi ndiyo risasi kwa shingo, macho na akili

Lakini, kabla nijaze nafasi ya pili

Lazima nirudishe matusi za hawa makafiri

Barabara na gari nawache mkiwa chakari

Kazi ni usafiri, na si’ ni MC machachari

Kabla single yako ipite yangu kwa chati

Geuza jina, geuza flow, geuza trouser na shati

Na bado ukitoboa, kuniguza ni bahati

Na roga na Kihindi tena Kigujarati

Yo! Zaga blao.

Zigi zao, Zigi zao

Kutema na mimi lazima utupe mbao

Ule jamaa mlidharau, sa’ anaspit ka’ bunduki

Chiki plao. Chiki chiki, plao plao. 

 

(Hatucheki na wadhii

Ma-fans zetu wamesema ndio, au sio?)

 

[Chorus]

 

[Kleptomaniax] (x4)

Niaje bro (vipi beshte?)

Niaje siste (vipi dada?)

Tunawachekii (Mnatuchekii)

We’ve got mad mad love for ya’ll

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s