Lyrics · Nyashinski

Baby I

by Nyashinski

 

[Intro]

Haha! Hata mimi mwenyewe siezi amini ‘naeza do ngoma kama hii…Ok!

 

Secretly nimekaa naku-admire tu

Vile una dance uki-turn unani-show tattoo

Iko kwa mgongo hapo juu ya ma-yiha

Desire ‘naskia tu kuzishika

Kwa akili yangu sa’ ‘nakaa ‘natafuta plan

Niku-approach kama gangsta ama gentleman

Naona wacha tu nikuje niji-introduce

Naitwa Nyash na kuna vile unani-confuse

Una-smile unasema unanijua

Ati kuna time fulani uliniona on tour

Na since ni hivyo binti, boo

Pay attention now baby let me sing to you.

 

[Chorus]

Baby I, I like what I see

And that is why, you should be with me

Girl, you know how it is, when you like somebody

Please let me know, if I can be for you that somebody

Please let me know, Baby I

 

Akinicheki juu chini, halafu chini juu

Kuna joto hapa ndani ama ni mimi tu

Siku moja unafaa u-come tuende round-i ya mtaa

We’ ni mrembo kimchezo una-shine ka’ star

Una baraka tayari lakini ubarikiwe dada zaidi

Ona vile anakaa, obviously ‘nataka kujuana zaidi

ya kusalimiana tu vile inavyo faa

Unasema ati unanijua

Kuna time uliniona on tour

Na since ni hivyo binti, boo

Pay attention now baby let me sing to you.

 

[Chorus]

 

Ok, sasa imefika ile time

Unasema unapenda kus’kia niki-rhyme

DJ nyimbo yangu anaiweka pia

S’kia nikisema “Oh Yeah” na nikicheka pia

Lakini kwanza hebu chill kidogo

Mahali nimekaa ‘nas’kia ka’ hii seat ni moto

Jina yangu kwa hii list ya rap ‘najenga

Nani mwingine umes’kia ame-fuse rap na benga

Si lazima u-smile lakini unanijua

Uko sure hii time fulani umeniona on tour

Na since ni hivyo binti, boo

Pay attention now baby let me sing to you.

 

[Chorus]

 

[Outro]

Oooo

(I can see it in your eyes, now sing it

Usikatae baby please) (x2)

Vuruta (x8)

Mwangalia vile anavyocheza

Kulia kushoto kushoto kulia

Vuruta

Baby I

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s