Lyrics · Nazizi · Prezzo

Let’s Get Down

by Prezzo ft. Nazizi

[Chorus: Nazizi]

Siku moja jamaa, me, aliniita

Niko busy kwenye club ‘nakatika

Nimetega sikio kwenye speaker

Sina muda na mtu hata dakika

Ati [Prezzo] Shawty, tukutane please huko town.

Hukuameniangalia up and down

[Prezzo] Can I please right your number down?

Okay. Come, let’s get down.

 

[Prezzo]

Excuse me, miss. Jina langu ni Jackson

Together me and you, tutaleta action

Njoo, songea karibu nikupe mitikasi

Sio utani, ninachoomba ni nafasi

Kama dakika tano tu, of your time

Nikueleza ni-nimeku-mind

Kutoka the first time nilipo-lay my eyes, on you

Nili-believe it’s true, kuwa ni wewe tu

I promise you, nitakupenda boo na utanipenda too

Hadi nimepiga magoti kwenye sakafu

N’takupa chochote utakacho

(mpenzi wa mapenzi love always handles**, your love I cherish to keep bila scandal ) (x 2)

 

[Chorus]

 

[Nazizi]

Yo, sikuweza kuringa sikujali kama ana nyumba

ama ana dinga, moyo ulijizima

the way he approached me,

Aliwasha moyo wangu kama tochi

Sasa ni mimi Nazizi na yeye, siendi kokote

Milele mimi na yeye

‘Namshukuru Mola kutuleta sisi pamoja

Nilikuwa nimeshachoka kungoja

Moyo ulivyojudika huo, sasa umepona

‘naridhika na sauti tu

Siyo lazima kila siku sura yake kuiona

Hata bila ye kuwepo bado ‘namuona

Akilini mpaka usingizini

mchana mpaka night mawazoni yuko na mimi

‘namthamani ye’ hata kuliko madini, ama hela

Sio lazima utajirini

Hata kwao masikini

Mimi na yeye

Mungu atujalie, Amini

 

[Chorus]

 

[Prezzo]

Sawa boo, you know  I’m feeling you

Na mpaka kufa kwangu you know, I stay true

Forget about the haters, it’s between me and you

You and me, we spark the senses

Steam zimepanda hizi story za mapenzi

[Nazizi]

Sawa Jay, leta basi hiyo lighter

Moto yetu  itabamba mpaka ita-rise on

Mimi na wewe tu mpaka, mpaka kifo

(Tighter than tight mzee, siyo vitisho) (x 4)

 

[Chorus]

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s