Abbass · Bamboo · K-South · Lyrics

Tabia Mbaya

 

by K-South

 

(Wooo-oohh) (x4)

[Chorus]

 

Watu wengine wana tabia mbaya  (x3)

Watu wengine wana tabia mba-mbaya

Watu wengine wana tabia mbaya  (x3)

Watu wengine wana tabia mba-mbaya

 

[Abbas]

Nilikuwa nimepoa, ila plot ya kutoa,

nilikuwa ‘nasikiza tenje yangu, ile huweka kwa drawer

Ndio ndio, kisha nikasafisha nyumba,

safi kabisa, mpaka dirisha,

kazi kwisha,

(Halafu) kitu saa tatu niko kwa njia,

yaani barabarani chali anajisaidia,

Hana haya, ni tabia mbaya.

Je, huu ni ungwana?

Mambo kama haya

Sasa kufika bila kupita,

bila kulipwa

change kwa matatu

Ala! Uliza watu,

na vile tulifinywa, hiyo change tukanyimwa,

kama tungewika tungechinjwa (huh),

na ka’ tungepigana tungeshindwa

Ati ‘Kubaffu jaribu kuzusha kwenye matatu,

nitadunga hiyo pua

iwe na shimo tatu’

Sa’ kufika, kwa bash kitu saa nne na robo,

watu wengi: wazee na watoto wadogo,

Na wengine wame(fika) bila ku(alikwa) chakula ime(pikwa) sahani zime(shikwa)

Haraka, kisha kuwaka kuzusha, mawe kurushwa

na party ikaangushwa

 

[Chorus]

 

Hiyo tabia ni mbaya, ni kweli wewe (x2)

 

[Bamboo]

Mabeshte wana mambo, joh! Kufanya mchango

(mpango) ati wanaenda ng’ambo (hmm)

Kidogo beshte (huyo) na pesa kwa mfuko

Weekend yeye (missing) na nyumbani (hayuko)

Ngoma, Nyama Choma, leo wapewa mpaka che!

Wee!  Na pesa za Harambee

KCee ana tabia mbaya, joh! Jana Njeri, leo Mimü na kesho Cirü

Yaani ata wife ya Kimani, anamtamani,

Najua beshte mwingine ana stay Kangemi,

ikifika wikendi, anakopa madeni

Friday mpaka Sunday, anahanya mahani,

ikifika Monday, mfukoni hana any

‘Kapelekwa kwa afande,

sababu ya madeni (madeni)

Madeni (Madeni?)

Madeni (Madeni?)

Madeni (Matene?)

(Matene)

 

[Chorus]

 

Ukitupa temper, basi ni mbao umetupa

Ni ‘ka kuwacha nyama na kukula mifupa

Naomba unis’kize juu ni mambo na kupa

Ndi’ mfurahi, ama mkasirike na kupasuka

Si kuna watu wa aina tatu kwa hii nchi

Kuna waongozi, watu kama sisi

Hata kupata dough kwao haiwangi kitu rahisi

Kuna waibaji, wale watakudanganya

Watakunyanganya, kazi yao ni kusanya

Na kuna wale wamekosa kitu ya kufanya

Sanasana wanapenda kuhanyahanya

Tu-dame tudogo, wa mama mpaka manyanya

Kati ya hizo tatu, Je, we uko wapi?

Nyuma, mbele ama katikati?

Ama hujui, juu we’ mwenyewe hujitambui

Hujui kama we’ ni rafiki ama adui

Hujui kama unakuja au unaenda

Hujui kama unachukiwa au unapendwa

Ama hujali unaskia tu ma-rap kali

Ina maswali lakini s’kiza tafadhali

Mi sikutest-i na kupa tu kitu freshi

Usi-mind na tuko pamoja kama majeshi

 

[Chorus]

 

[Outro]

Kujisaidia barabarani (Hiyo ni tabia mbaya)

Kulewa  ukiharibu amani (ni tabia mbaya)

Kuenda party na kujialika ndani (Hiyo ni tabia mbaya)

(Tabia Mbaya) (x2)

Kulewa ovyo mpaka che (ni tabia mbaya)

Kuomba chapaa ukidanganya wasee (ni tabia mbaya)

Kula pesa ya harambee (ni tabia mbaya)

(Tabia mbaya) (x2)

Wanasiasa kudanganya watu (tabia mbaya)

Na mnawakanyaga ka’ viatu (tabia mbaya)

Na kukuwa na hiyo roho chafu (tabia mbaya)

(Tabia mbaya) (x2)

Kutolea afande kitu kidogo (tabia mbaya)

Magazeti kuandika maurongo (tabia mbaya)

Kusema una opario na we ni mwongo (tabia mbaya)

(Tabia mbaya) (x2)

Kutamani bibi ya wenyewe (tabia mbaya)

Na una bibi we’ mwenyewe (tabia mbaya)

Haya na hiyo umalaya (tabia mbaya)

(Tabia mbaya) (x2)

Kuvuta ma *sniff, sniff* (tabia mbaya)

Kuita dame hujui *kx, kx* (tabia mbaya)

Kulazimisha dame akupe mtoto *spit* (tabia mbaya)

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s