Abbass · Bamboo · K-South · Lyrics

Tunapenda Zote (Nyama)

by K-South

 

[Intro]

(Doobiez)

Watu huku wanapenda nini

Nyama, pia Kerow-row, Keroro

 

Huwezi niona siku hizi, niko busy

Kichizi, kazi mara sisi

Mmesahau tumebadilisha style siku hizi

Pengine wengine bana, sio sisi

‘Napiga simu sana ndani ya ofisi

Lakini vichwa sijaiva, bado mbichi

‘Nakuambia ukweli joh! Sikufichi

Bado sijapata ndai mimi

Natafuta juu, natafuta chini

Mara polisi wamekamata mimi

Joh, nashindwa bana nimefanya nini

Hapana kuna kitu mnataka nyinyi

Ndiyo maana mnafuatafuata mimi

Kus’kia hiyo afande akasema hivi (x2)

 

[Chorus] (x2)

Hey Yah!

Tunapenda zote, nyama ya ng’ombe

ugali, kachumbari ili watu wasikonde

 

Hii kuwaka bila ku-dish me nimekoma

Leo home hakuna dish, juu mboch amegoma

Si basi nitapitia tu kawaida for nyama choma

Si unaona siku hizi Doobiez huwanga amenona

Sa’ mbona ni kwambia kuna mahali me nina-ponder

Waiter naomba, mbili mbili baridi kabla hiyo kilo

ya steak na marafiki, hata kachumbari na nyanya za Marikiti

Mishikaki fiti hadi nasanya vijiti

Ma-toothpick hawana me nina vibiriti

Kuenda chooni nijisaidie hakuna TP

Kurudi nakuta nmeshanyang’anywa kiti

Nipe receipt-i joh, nilipe me nijikate

kuna party nimealikwa sitaki me nihate

Kuna mamanzi, keroro na

Manyake (x3)

 

[Chorus]

 

**video not complete**

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s