Lyrics · Rebekah Dawn

Kutembea Nawe

 

by Rebekah Dawn

 

Nikipoteza njia,

Kwa safari nimechagua

Nisipokuwa na nguvu

Niite (x2)

Niongoze kwa neema

Nifunze kwa upole wako

Hata nikikosea

Nisaidie (x2)

 

[Chorus]

Natamani kutembea nawe (x3)

Niongoze  (x2)

 

Sielewi njia hii

Ndio maana ‘nakuhitaji

‘Nakutegemea wewe

Enda nami (x2)

‘Nashindwa kukupa yote

Hata hivyo nitaamini

Kwani ‘najua mwishowe

Kuna raha (x2)

 

[Chorus] (x2)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s